Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-na-Kuadibu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-na-Kuadibu. Onyesha machapisho yote

3/22/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video


Kanisa la Mwenyezi Mungu|Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video 

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi.

2/19/2018

3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu


3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.

2/07/2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)

Kukamilishwa kuna maana gani? kushindwa kuna maana gani? Ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili apate kushindwa? Na ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili afanywe mkamilifu? Kushinda na kukamilisha yote yanakusudiwa kumfanyia kazi mwanadamu ili aweze kurudi katika asili yake na awe huru na tabia zake potovu za shetani na ushawishi wa Shetani.