2/07/2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (4)

Kukamilishwa kuna maana gani? kushindwa kuna maana gani? Ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili apate kushindwa? Na ni vigezo vipi mtu anapaswa kuwa navyo ili afanywe mkamilifu? Kushinda na kukamilisha yote yanakusudiwa kumfanyia kazi mwanadamu ili aweze kurudi katika asili yake na awe huru na tabia zake potovu za shetani na ushawishi wa Shetani.

2/06/2018

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" (Video Rasmi ya Muziki)


Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" (Video Rasmi ya Muziki)


Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote.
Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe.

2/05/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (3)

Matokeo ya kutimizwa kutoka kwa kazi ya kushinda kimsingi ni kwa ajili ya mwili wa mwanadamu kuacha kuasi, yaani, ili fikira za mwanadamu zipate ufahamu mpya wa Mungu, moyo wake umtii Mungu kabisa, na aamue kuwa wa Mungu. Jinsi ambavyo mwenendo wa mtu ama mwili wake unavyobadilika haiamui ikiwa ameshindwa.

2/04/2018

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Kushinda (2)

Mwenyezi Mungu alisema, Mlikuwa mnatafuta kutawala kama wafalme, na leo bado hamjaacha kabisa suala hili; bado mnatamani kutawala kama wafalme, kushikilia mbingu na kuhimili dunia. Sasa, fikiria kuhusu hilo: Je, unazo sifa kama hizo? Je, huoni unakuwa mtu mpumbavu? Je, mnachokitafuta na kujitolea umakini wenu kwacho ni cha uhalisi? Hamna hata hali ya kawaida ya ubinadamu—hilo si la kusikitisha? Hivyo, leo Nazungumzia tu juu ya kushindwa, kuwa na ushuhuda, kuendeleza ubora wa tabia yako, na kuingia katika njia ya kufanywa kuwa mkamilifu, na kutozungumzia kitu chochote kile.

2/03/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,  Mwenyezi Mungu

 Kanisa la Mwenyezi Mungu|Tamko la Ishirini 

Utajiri wa jumba Langu ni bila idadi na usioeleweka, lakini mwanadamu hajawahi kuja Kwangu kuufurahia. Hana uwezo wa kuufurahia mwenyewe, wala wa kujilinda mwenyewe kwa kutumia juhudi zake mwenyewe; badala yake, yeye daima huweka imani yake kwa wengine. Kati ya wale wote Ninaowatazamia, hakuna mtu aliyewahi kunitafuta kwa makusudi na moja kwa moja.

2/02/2018

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"




Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho "Mungu Anaongoza Majaliwa ya Wanadamu Wote"


Mwenyezi Mungu alisema, "Kama wewe ni Mkristo wa kweli, basi hakika utaamini kwamba kupanda na kushuka kwa nchi ama taifa lolote hufanyika kulingana na miundo ya Mungu. Mungu pekee hujua majaliwa ya nchi ama taifa, na Mungu pekee hudhibiti mwendo wa huyu mwanadamu.

2/01/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 10. Wale Wanaopenda Ukweli Wana Njia ya Kufuata

Watu wengi wameibua suala lifuatalo: Baada ya ushirika wa juu, wanahisi wazi kabisa, wanakuwa na nguvu zaidi, na hawana hisia hasi—lakini hali kama hiyo inabaki tu kwa karibu siku kumi, ambapo baadaye hawawezi kudumisha hali ya kawaida. Suala ni nini? Je mmewahi kujiuliza kinachosababisha hili? Mbona hali zenu ni nzuri sana katika siku hizo takriban kumi za kwanza? Wengine wanasema kuwa hili ni tokeo la kutolenga ukweli. Lakini hivyo ungeweza vipi kufikia kiwango hiki cha kawaida baada ya kusikia ushirika? Mbona ulikuwa na furaha sana baada ya kuusikia ukweli?