4/11/2018

Swahili Christian Musical Drama "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo

Swahili Christian Musical Drama "Hadithi ya Xiaozhen" | Mungu ni upendo


Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake. Baada ya kuteseka kutokana na msiba huu, Xiaozhen alilazimika kuuacha moyo wake wa kweli na kanuni zake za awali. Alianza kuisaliti dhamiri yake mwenyewe iliyo nzuri na roho safi, na kugaagaa katika kinamasi cha ulimwengu mbaya. …

4/10/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Desturi ya Sala

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, neema

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Desturi ya Sala

Nyinyi hamtilii maanani sala katika maisha yenu ya kila siku. Watu daima wamepuuza sala. Katika sala zao hapo awali walikuwa wakifanya tu mambo kwa namna isiyo ya dhati na kufanya mchezo tu, na hakuna mtu aliyeupeana moyo wake kwa ukamilifu mbele ya Mungu na kumwomba Mungu kweli. Watu humwomba Mungu tu wakati kitu kinawatendekea. Katika wakati huu wote, umewahi kweli kumwomba Mungu?

4/09/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dibaji


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dibaji


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, sembuse kujua kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, kwamba wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika.

4/08/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Una Mtazamo Upi Kuhusu Nyaraka Kumi na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Una Mtazamo Upi Kuhusu Nyaraka Kumi na Tatu

Agano Jipya la Biblia lina nyaraka kumi na tatu za Paulo. Barua hizi kumi na tatu ziliandikwa na Paulo kwa makanisa yaliyomwamini Yesu Kristo wakati wa kazi yake. Yaani, aliziandika barua baada ya Yesu kupaa mbinguni na alifufuliwa. Barua zake ni ushuhuda wa ufufuo wa Bwana Yesu na kupaa mbinguni baada ya kifo Chake, na zinahubiri njia ya watu kutubu na kuubeba msalaba.

4/07/2018

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini "Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"


Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini "Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"

Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu. Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya. Kila kitu kimehuishwa, vyote vimetengenezwa upya, vyote vimetakaswa. Tunamsifu Mungu, tukijawa furaha, nyimbo za sifa zinapepea mbinguni Kwake. Mtukuzeni Yeye! Imbeni utukufu kwa jina Lake! Watu wote msifuni Mungu kwa vigelegele.

4/06/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi na Kuingia (1)

Tangu watu waanze kuikanyaga njia sahihi ya maisha, kumekuwa na mambo mengi ambayo bado hayajaeleweka vizuri. Bado wapo kwenye mkanganyiko kabisa kuhusu kazi ya Mungu, na kuhusu kiasi gani cha kazi wanapaswa kufanya.

4/05/2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (1): Jiwe, Karatasi, Makasi


Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?