4/27/2018

1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Umeme wa Mashariki | 1. Upendo wa Mungu Ulikuwa Nami Katika Gereza la Giza la Ibilisi

Yang Yi, Mkoa wa Jiangsu
Mimi ni Mkristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Nimekuwa mfuasi wa Mwenyezi Mungu kwa zaidi ya miaka kumi. Katika wakati huu, kitu kimoja ambacho sitawahi kusahau ni taabu mbaya sana nilipokamatwa na polisi wa CCP muongo mmoja uliopita. Wakati huo, licha ya mimi kuteswa na kukandamizwa na ibilisi waovu, na kuwa ukingoni mwa kifo mara kadhaa, Mwenyezi Mungu alitumia mkono Wake wa nguvu kuniongoza na kunilinda, kunirudisha kwa uhai, na kunipeleka kwa usalama.... Kupitia hili, kwa kweli nilipitia uvukaji mipaka na ukuu wa nguvu ya uhai wa Mungu, na kupata utajiri wa thamani wa maisha niliyotunikiwa na Mungu.

4/26/2018

Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika. Watu hawachukulii imani kwa Mungu kwa makini kwa kuwa kuamini katika Mungu ni jambo geni, jambo lisolo la kawaida sana kwao. Kwa njia hii, hawafikii mahitaji ya Mungu.

4/25/2018

10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 10. Usitafute Mbinu Mpya Unapomtumikia Mungu

Heyi   Mji wa Zhuanghe, Mkoa wa Liaoning
Nilikuwa nimepandishwa cheo tu kuchukua jukumu la kiongozi wa kanisa. Lakini baada ya kipindi cha kazi ngumu, sio tu kuwa kazi ya kiinjili ilikuwa bila uhai kiasi, lakini ndugu zangu wa kiume na wa kike katika timu ya kiinjili walikuwa pia wakiishi katika hali hasi na ya udhaifu. Nikiwa nimekabiliwa na hali hii, sikuweza tena kudhibiti hisia zangu. 

4/24/2018

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

Swahili Christian Video | Nyendo za Mateso ya Kidini "Kuficha Uhalifu"

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

4/23/2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi


Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (6): Kurudi


Mwenyezi Mungu anasema, "Unapokuwa umechoka na unapoanza kuona huzuni katika ulimwengu huu, usifadhaike, usilie. Mwenyezi Mungu, Mlinzi, atakaribisha kuwasili kwako wakati wowote. Yupo pembeni mwako Anakuangalia, anakusubiri uweze kumrudia. Anasubiri siku ambayo kumbukumbu zako zitarejea" (Neno Laonekana katika Mwili) Jinsi tu Xiaozhen aliachwa akiwa ameviliwa na kupigwa na ulimwengu huu na alijitoa mwenyewe kwa kukata tamaa, upendo wa Mwenyezi Mungu ulimjia na moyo wake ukaamshwa …

4/22/2018

Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi

Kanisa la Mwenyezi Mungu| Swahili Christian Music Video "Hadithi ya Xiaozhen" (5): Maisha katika Bwalo la Dansi


Akiishi nyuma ya kinyago, Xiaozhen alisimilishwa na kumezwa polepole na ulimwengu huu. Alipoteza heshima yake miongoni mwa njia potovu za ulimwengu mbaya …

4/21/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Nane

Kufuatana na sifa za asili za wanadamu, yaani, uso halisi wa wanadamu, kuweza kuendelea hadi sasa hakujakuwa jambo rahisi kweli, na ni kwa njia hii tu ndio nguvu kuu ya Mungu imekuwa dhahiri. Kutegemea kiini cha mwili pamoja na upotovu wa joka kuu jekundu hadi sasa, isingekuwa uongozi wa Roho wa Mungu, mwanadamu angewezaje kusimama leo? Mwanadamu hastahili kuja mbele ya Mungu, lakini Anawapenda wanadamu kwa ajili ya usimamizi Wake na ili kazi Yake kuu iweze kufanikishwa kabla ya muda mrefu sana.