Mwenyezi Mungu ndiye ujio wa pili wa Bwana Yesu. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu.
Kurasa
- Nyumbani
- Kuhusu Sisi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Wasiliana Nasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Vitabu - Neno Laonekana katika Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo na Densi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Kwaya za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Kupitia Mateso | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Filamu za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Usomaji wa Maneno la Mwenyezi Mungu | Kanisa la Mwenyezi Mungu
5/27/2018
5/26/2018
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa
Utambulisho
Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu!
5/25/2018
13. Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri
13. Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri
Utambulisho
Ⅰ
Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
5/24/2018
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu
Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu
Utambulisho
Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua ukweli wa kweli!
5/23/2018
Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho
Kuamini Uvumi ni Kupoteza Wokovu wa Mungu wa Siku za Mwisho
Wakati wowote wanaposikia mtu akizungumza juu ya injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, ndugu wengi wa kiume na wa kike kanisani wanashindwa kusikiliza na hawathubutu kukubali kile kinachosemwa kwa kuwa wameshtushwa na uvumi wa mihemko. Wanaweza kusikia mtu akisema: “Wale wanaomwamini Mwenyezi Mungu ni watu muhimu kweli, utadanganywa ukiwasiliana nao. Kuna waumini wengi wa kweli katika kila dhehebu la kidini na wana sifa nzuri za ndani, wao ni wanakondoo wanaopenda ukweli lakini wanaibwa na wanaomwamini Mwenyezi Mungu …”
5/22/2018
Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)
Utambulisho
Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake.
5/21/2018
67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa
67. Zawadi ya Kupendeza Zaidi Ambayo Mungu Amenipa
Yixin Jiji la Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei
Kabla, ningewasikia mara kwa mara ndugu zangu wa kiume na wa kike wakisema, "Kila kitu ambacho Mungu hufanya ni kwa ajili ya matokeo mazuri; ndiyo yote wanayohitaji watu." Nilikubali hili na kukubaliana nalo, lakini sikuwa na ufahamu wowote kupitia uzoefu wangu mwenyewe. Baadaye nilipata ufahamu kiasi kwa njia ya mazingira ambayo Mungu aliniumbia.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)