11/28/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu


Unampenda Mungu kiasi gani hasa leo? Na unajua kiasi gani hasa kuhusu yote ambayo Mungu amefanya ndani yako? Haya ni mambo unayopaswa kujifunza. Mungu anapowasili duniani, yote ambayo Amefanya ndani ya mwanadamu na kumkubalia mwanadamu kuona ni ili mwanadamu atampenda na kumjua Yeye kweli. Kwamba mwanadamu anaweza kuteseka kwa ajili ya Mungu na ameweza kufikia umbali huu ni, kuhusiana na jambo moja, kwa sababu ya upendo wa Mungu, na kuhusiana na jambo lingine, ni kwa sababu ya wokovu wa Mungu; zaidi ya hayo, ni kwa sababu ya kazi ya hukumu na kuadibu ambayo Mungu ametekeleza ndani ya mwanadamu.

11/27/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kufanywa Wakamilifu Wapitie Usafishaji

Matamshi ya Mwenyezi MunguNi Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji

Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki.

11/26/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Je, ni jinsi gani mwanadamu anafaa kumpenda Mungu wakati wa usafishaji? Baada ya kupitia usafishaji, wakati wa usafishaji watu wanaweza kumsifu Mungu kwa kweli na kuona jinsi wanavyokosa kwa kiasi kikubwa. Kadiri usafishaji wako ulivyo mkubwa, ndivyo unaweza zaidi kukana mwili; kadiri usafishaji wao ulivyo mkubwa, ndivyo zaidi ulivyo upendo wa watu kwa Mungu, Hili ndilo mnapaswa kuelewa. Je, kwa nini ni lazima watu wasafishwe? Linalenga kutimiza matokeo gani? Je, umuhimu wa kazi ya Mungu ya usafishaji kwa mwanadamu ni gani?

11/24/2018

Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"


Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation


     Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele"



Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.
Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake,
thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.

11/23/2018

Wimbo za Kuabudu "Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu" | God Is My Salvation


        Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda,
uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme.
Maneno Yako yamenitakasa,
yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Moyoni mwangu nahisi, kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.
Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
Maneno Yako yote ni ukweli.
Unastahili upendo wa binadamu.
Ee Mungu! Ukipuuza uasi wangu wa zamani,
Unanijali na kufanya kazi kuniokoa.
Unaniongoza katika njia ya kweli,
Ukitazama kila wakati katika upande wangu,
natarajia tu nitakua na kuwa mtu mpya.
Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
Nitafuatilia kukupenda Wewe, mwaminifu kwa wajibu ili kukufurahisha Wewe.

11/21/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dhambi Zitampeleka Mwanadamu Jahanamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dhambi Zitampeleka Mwanadamu Jahanamu 


Nimewapa maonyo mengi na kutawaza juu yenu kweli nyingi ili kuwashinda. Leo mnajihisi kustawishwa zaidi kuliko mlivyokuwa hapo zamani, kuelewa kanuni nyingi za jinsi mtu anapaswa awe, na kumiliki kiasi kikubwa cha maarifa ya kawaida ambayo watu waaminifu wanapaswa kuwa nayo. Hiki ndicho mmepata baada ya miaka mingi sasa. Mimi sikani mafanikio yenu, lakini lazima Niseme wazi kuwa Mimi pia sikani kutotii kwenu kwingi na uasi dhidi Yangu hii miaka mingi, kwa sababu hakuna hata mtakatifu mmoja kati yenu, bila yeyote kuachwa nyuma nyinyi ni watu mliopotoshwa na Shetani, na maadui wa Kristo.