11/30/2018

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Swahili Christian Variety Show | "Mwelekeo Mbaya" (Kusemezana) | Nearly Miss the Return of the Lord

Wakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli. Hata hivyo, anahofia kwamba kimo chake ni kidogo sana na hana uwezo wa kutambua, hivyo anataka kumtafuta mchungaji wake awe kama mlinda lango. Bila kutarajia, akiwa njiani kuelekea kwake, anakutana na Dada Zheng Lu. Kupitia ushirika wa Dada Zheng kuhusu ukweli, Zhao anaishia kuwa na utambuzi na kufahamu kwamba kukaribisha kurudi kwa Bwana, anapaswa kuzingatia kuisikia sauti ya Mungu, hiyo ndiyo njia pekee ya kufuata nyayo Zake. Kufuata na kuwaabudu wachungaji na wazee bila kufikiria hakika ni kuchukua mwelekeo mbaya.

Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

11/29/2018

Swahili Christian Movie "Ujinga Angamizi" | Why Can’t Foolish Virgins Enter the Kingdom of Heaven?

  
Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana. Siku moja, shangazi yake anashuhudia kwake kwamba Bwana Yesu amerudi kuonyesha ukweli na kufanya kazi ya kumhukumu na kumtakasa mtu katika siku za mwisho, habari ambazo zinampendeza sana.

11/28/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu

Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia tu Majaribio ya Kuumiza Ndiyo Mnaweza Kujua Kupendeza kwa Mungu


Unampenda Mungu kiasi gani hasa leo? Na unajua kiasi gani hasa kuhusu yote ambayo Mungu amefanya ndani yako? Haya ni mambo unayopaswa kujifunza. Mungu anapowasili duniani, yote ambayo Amefanya ndani ya mwanadamu na kumkubalia mwanadamu kuona ni ili mwanadamu atampenda na kumjua Yeye kweli. Kwamba mwanadamu anaweza kuteseka kwa ajili ya Mungu na ameweza kufikia umbali huu ni, kuhusiana na jambo moja, kwa sababu ya upendo wa Mungu, na kuhusiana na jambo lingine, ni kwa sababu ya wokovu wa Mungu; zaidi ya hayo, ni kwa sababu ya kazi ya hukumu na kuadibu ambayo Mungu ametekeleza ndani ya mwanadamu.

11/27/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Ni Lazima Wale Wanaofaa Kufanywa Wakamilifu Wapitie Usafishaji

Matamshi ya Mwenyezi MunguNi Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji

Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki.

11/26/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Je, ni jinsi gani mwanadamu anafaa kumpenda Mungu wakati wa usafishaji? Baada ya kupitia usafishaji, wakati wa usafishaji watu wanaweza kumsifu Mungu kwa kweli na kuona jinsi wanavyokosa kwa kiasi kikubwa. Kadiri usafishaji wako ulivyo mkubwa, ndivyo unaweza zaidi kukana mwili; kadiri usafishaji wao ulivyo mkubwa, ndivyo zaidi ulivyo upendo wa watu kwa Mungu, Hili ndilo mnapaswa kuelewa. Je, kwa nini ni lazima watu wasafishwe? Linalenga kutimiza matokeo gani? Je, umuhimu wa kazi ya Mungu ya usafishaji kwa mwanadamu ni gani?

11/24/2018

Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu"


Wimbo Mpya wa Dini | "Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu" | God Is My Salvation


     Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu, pia kupitia kukufanya mkamilifu.

Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele"



Muziki wa Injili "Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Milele" | The Word of God Is a Light to Our Path

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.
Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao,
sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.
Hata kama hakuna mwanadamu ulimwenguni anayapokea maneno Yake,
thamani yao na usaidizi kwa mwanadamu hayapimiki.
Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele.
Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu.