2/23/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”


Kanisa la Mwenyezi Mungu|Best Swahili Christian Worship Song “Maisha Yetu Sio Bure”

Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! Kufahamu na kukumbatia fumbo hili. Nyayo zetu ziko katika njia ng’avu zaidi ya hadi katika uzima. Hatutafuti tena, yote yako wazi kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Maisha ya kumpenda Mungu, yenye maana, sio matupu. Tutimize wajibu wetu ili kushuhudia kwa ajili Yake. Tunapata sifa ya Mungu, tunapokea wokovu Wake. Hatuishi bure; maisha yetu, yenye utajiri na yaliyojaa. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.
Ni nani angeweza kuwa amebarikiwa kuliko tulivyobarikiwa? Je, bahati nzuri ingeweza kutabasamu kwa utajiri na wingi mno? Kwa kuwa Mungu ametupa sisi mengi zaidi kuliko chochote kile Alichotoa katika enzi zilizopita. Lazima tuishi kwa ajili ya Mungu, Aliyetuinua mimi na wewe. Tunapaswa kurudisha upendo wote uliomwagwa kwetu. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure. Mungu, tutakupenda Wewe milele bila majuto. Tumepata ukweli, uzima wa milele tutapata. Maisha yetu sio bure, sio bure. Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure.

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni