8/15/2018

Upendo Safi Bila Dosari

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Nyimbo za Sifa




Upendo Safi Bila Dosari

Utambulisho

  I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki, hutazamii kupata kitu, cha malipo. Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
II
Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo haujitengi, upendo hauna dosari. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki, hutazamii kupata kitu cha malipo. Ukipenda utajitolea, ukubali taabu, kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
III
Utatoa familia, ujana wako na siku za usoni. Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake. Utatoa familia, ujana na siku za usoni. Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake. Ama upendo wako si upendo kabisa, bali uongo, usaliti kwa Mungu.
IV
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili


Yaliyopendekezwa: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni