9/20/2018

Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?

πŸ€”πŸ€”Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?

πŸŽ¬πŸ‘‰Tazama video: https://sw.godfootsteps.org/videos/one-who-holds-sovereignty-over-everything.html

Mungu asema: "Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?"

Filamu iitwayo Yule Ambaye Hushikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu itakuongoza kufikia kiini cha jambo hili, ili kufichua mafumbo yote haya!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kazi ya Mungu, Umeme wa Mashariki

Yaliyopendekezwa: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Asili ya Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni