Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana. Onyesha machapisho yote

11/06/2018

“Kubisha Hodi Mlangoni” (1) - Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana


Utambulisho

  Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata" (Yohana 10:27). Pia imetabiriwa mara nyingi katika Ufunuo, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa." Sauti na maneno ya Roho ni sauti ya Bwana, na ni kondoo wa Mungu mbao watatambua sauti ya Mungu. Ni tendo gani, basi, lililo muhimu kwa Wakristo wanapoukaribisha ujio wa Bwana?

      Tazama Video: Umeme wa Mashariki Sinema za Injili, Filamu za Injili

11/04/2018

"Wakati wa Mabadiliko" (1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje




"Wakati wa Mabadiliko" (1) - Wanawali Wenye Hekima Hunyakualiwaje


   Watu wengine huongozwa na maneno ya Paulo katika suala la kumngoja Bwana ili kuinuliwa kwenda katika ufalme wa mbinguni: "Kwa ghafla, kufumba na kufumbua, wakati wa tarumbeta ya mwisho: kwa maana tarumbeta italia, na wafu watafufuliwa bila uovu, na tutabadilishwa" (1Kor 15:52). Wanaamini kwamba ingawa bado tunatenda dhambi siku zote bila kujinasua kutoka kwa pingu za asili ya dhambi, Bwana atazibadili taswira zetu mara moja na kutuleta katika ufalme wa mbinguni Atakapokuja.

10/15/2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV

Mwenyezi Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV | Mwenyezi Mungu


Utakatifu wa Mungu (I)

Tumekuwa na ushirika wa ziada wa mamlaka ya Mungu leo, na hatutazungumza kuhusu haki ya Mungu sasa hivi. Leo tutazungumza kuhusu mada nzima mpya—utakatifu wa Mungu. Utakatifu wa Mungu pia ni kipengele kingine cha kiini cha kipekee cha Mungu, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kushiriki mada hii hapa.