Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-kujengwa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-kujengwa. Onyesha machapisho yote

2/07/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 19

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 19


Kazi ya Roho Mtakatifu inapoendelea mbele, Mungu kwa mara nyingine tena ametuingiza katika mbinu mpya ya kazi ya Roho Mtakatifu. Matokeo yake, haiepukiki kwamba baadhi ya watu wamenielewa Mimi vibaya na kufanya malalamiko Kwangu. Wengine wamenipinga na kunikataa Mimi, na wamenichunguza Mimi. Hata hivyo, bado Mimi ninasubiri kwa rehema toba yenu na mageuzi. Mabadiliko katika utaratibu wa kazi ya Roho Mtakatifu ni Mungu Mwenyewe kuonekana hadharani.