Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la-Filadelfia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kanisa-la-Filadelfia. Onyesha machapisho yote

12/18/2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Pili

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Tamko la Pili

Kanisa la Filadelfia limechukua umbo, na hili limesababishwa kabisa na neema na rehema za Mungu. Watakatifu wameleta upendo wao wa Mungu mbele na kamwe hawakuyumbayumba kutoka kwa njia yao ya kiroho. Kuwa imara katika imani kwamba Mungu mmoja wa kweli Amekuwa mwili, ya kwamba Yeye ndiye Mkuu wa ulimwengu Ambaye hutawala vitu vyote—hii imethibitishwa na Roho Mtakatifu na ni ushahidi thabiti! Kamwe hauwezi kubadilika!