Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuonekana-kwa-Mungu. Onyesha machapisho yote

6/30/2019

Sauti ya Mungu | Sura ya 86

Sauti ya Mungu | Sura ya 86

Watu husema kuwa Mimi ni Mungu mwenye huruma na wao husema kwamba Nitaoa wokovu kwa kila kitu Nilichokiumba—mambo haya yote yanasemwa kulingana na fikira za binadamu. Kunitaja Mimi kama Mungu mwenye huruma kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na kuletea Kwangu wokovu kunaelekezewa wazaliwa Wangu wa kwanza na watu Wangu. Kwa sababu Mimi ni Mungu mwenye hekima, ni wazi katika mawazo Yangu ni nani Ninaowapenda na ni nani Ninaowachukia. 

5/28/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 60

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 60

Si jambo rahisi kwa maisha kukua; yanahitaji mchakato, na aidha, kwamba muweze kulipa gharama na kwamba mshirikiane na Mimi kwa uwiano, na hivyo mtapata sifa Yangu. Mbingu na dunia na vitu vyote vinaanzishwa na kufanywa kamili kupitia maneno ya kinywa Changu na chochote kinaweza kutimizwa nami. Matakwa Yangu ya pekee ni kwamba mkue haraka, mchukue mzigo kutoka kwa mabega Yangu na kuuweka kama wenu, mfanye kazi Zangu kwa niaba Yangu, na hilo litauridhisha moyo Wangu.

1/27/2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 15

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 15


Kuonekana kwa Mungu tayari kumetokea katika makanisa yote. Roho ndiyo anayeongea, Yeye ni moto mkali, Yeye hubeba uadhama na Anahukumu; Yeye ni Mwana wa Adamu, liyevaa vazi lililofika kwa miguu, na kufungwa mshipi kwenye matiti na ukanda wa dhahabu. Kichwa Chake na nywele Zake ni nyeupe kama sufu nyeupe, na macho Yake ni kama mwale wa moto; na miguu Yake iko kama shaba iliyosuguliwa sana, kana kwamba imesafishwa katika tanuru; na sauti Yake kama sauti ya maji mengi. Ana nyota saba katika mkono Wake wa kuume, upanga wenye makali kuwili uko katika kinywa Chake na uso Wake ni kama jua liking'aa kwa nguvu zake!

9/14/2018

Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)



Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)


Utambulisho

Kuonekana kwa Mungu kunataja kufika Kwake binafsi duniani ili kufanya kazi Yake.
Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,
Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.
Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.
Si aina ya sherehe.
Si muujiza. Si ono kuu.
Pia sio aina ya mchakato wa kidini hata zaidi.

2/20/2018

4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao. Tungeweza tu kuja mbele ya Mwenyezi Mungu kusali kwa ari, tukimsihi Mungu kufanya kazi binafsi.