Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-asifiwe. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-asifiwe. Onyesha machapisho yote

10/27/2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Ishini Katika Upendo wa Mungu | "Wimbo wa Mapenzi Matamu" | Best Swahili Christian Worship Song

Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.
Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.
Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami.
Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua.
Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea.
Kumbukumbu chungu hutokomea.