Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nimewahi-Treni-ya-Mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nimewahi-Treni-ya-Mwisho. Onyesha machapisho yote

12/21/2018

Filamu za injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days


    Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa  mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano. Na hivyo Mchungaji Chen aliona giza likiangukia nafsi yake, kana kwamba kisima cha roho yake kilikuwa kikavu, na hakuweza kuhisi uwepo wa Bwana.