Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Washindi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ushuhuda-wa-Washindi. Onyesha machapisho yote

10/03/2018

Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

64. Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo

Fan Xing    Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha. Baadaye, kanisa lilinipangia kufanya kazi na dada mwingine nami nikaweka azimio mbele ya Mungu: Kuanzia sasa kuendelea, sitatembea katika njia za kufeli. Nimejifunza mafundisho yangu na hivyo kwa sasa wakati huu bila shaka nitakuwa na mawasiliano ya wazi zaidi na dada huyu na kufikia uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.

8/12/2018

3. Ujana Uliotumiwa Bila Majuto

3. Ujana Uliotumiwa Bila Majuto

Xiaowen, Chongqing
"Upendo ni hisia safi, safi bila ya dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vikwazo au umbali. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Ukipenda hudanganyi, kunung'unika, kutelekeza, kutarajia kupata malipo" ("Upendo safi bila Dosari" katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya). Wimbo huu wa neno la Mungu siku moja ulinisaidia kupitia maumivu ya maisha ya muda mrefu yaliorefuka bure gerezani ambao ulidumu miaka 7 na miezi 4. Ingawa serikali ya CCP ilininyang'anya miaka mizuri zaidi ya ujana wangu, nimepata ukweli halisi na wa thamani zaidi kutoka kwa Mwenyezi Mungu na kwa hiyo sina malalamiko au majuto.

ushuhuda, wokovu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

7/13/2018

4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

4. Kutoka kwa Mateso Kunatoka Harufu Nzuri ya Upendo

Xiaokai, Mkoa wa Jiangxi
Mimi ni mwanamke wa kawaida wa mashambani, na, kwa sababu ya dhana ya kikabaila ya kuthamini tu watoto wa kiume, sikuweza kuinua kichwa changu mbele ya wengine kwa ajili ya aibu ya kutozaa mtoto wa kiume. Wakati tu nilikuwa nikiteseka zaidi kabisa, nilichaguliwa na Bwana Yesu na, miaka miwili baadaye, nilikubali wokovu wa Mwenyezi Mungu. Aidha, nilielewa ukweli mwingi kutoka kwa ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu na moyo wangu ulipata ufunguliaji wa kweli. Hata hivyo, nilipokuwa nikitekeleza wajibu wangu wa kulipiza upendo wa Mungu, nilikamatwa mara mbili na serikali ya CCP na nilipitia mateso katili na maumivu mikononi mwa vibaraka wa CCP. Wakati tu nilikuwa ukingoni mwa kifo, maneno ya Mwenyezi Mungu yaliniongoza na kunitia moyo na kunisababisha kuwa na ushuhuda katikati ya madhara katili ya Shetani, hivyo kuimarisha azimio langu la kumfuata Mungu na kumpenda Mungu maisha yangu yote.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Ushuhuda wa Washindi, Umeme wa Mashariki