Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-za-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-za-Injili. Onyesha machapisho yote

9/08/2018

Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love

Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love

Utambulisho

Muumba yuko miongoni mwa binadamu siku zote,
kwamba siku zote Anazungumza na binadamu na uumbaji mzima,
na kwamba Anatekeleza matendo mapya, kila siku.
Hali Yake halisi na tabia vyote vimeelezewa katika mazungumzo Yake na binadamu;
fikira na mawazo Yake vyote vinafichuliwa kabisa kwenye matendo Yake haya;
Anaandamana na kufuatilia mwanadamu siku zote.