Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha-katika-nyoyo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha-katika-nyoyo. Onyesha machapisho yote

10/23/2017

Mbingu Mpya na Nchi Mpya | Tamthilia ya Jukwaa "Tamasha la Kwaya ya Kichina 13"

  

1. WANADAMU WAMEUPATA TENA UTAKATIFU WAO WALIOKUWA NAO AWALI

    La … la … la … la …

   Wakati huu wa shangwe, wakati huu wa nderemo (du ba du ba), haki ya Mungu na utakatifu wa Mungu vimeenda ugenini kote ulimwenguni (ba ba ba …), na binadamu wote wanavisifu bila kikomo. (Du … ba … ba la ba ba) Miji ya mbingu inacheka kwa furaha (du ba du ba), na falme za nchi zinacheza kwa shangwe (Ba ba ba …) Ni nani wakati huu ambaye haonyeshi furaha?