Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo katikati-ya-mwanga. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo katikati-ya-mwanga. Onyesha machapisho yote

2/24/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Ishirini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Ishirini na Mbili

Mwenyezi Mungu alisema, Mwanadamu anaishi katikati ya mwanga, ilhali hana habari kuhusu thamani ya mwanga huo. Hana ufahamu kuhusu kiini cha mwanga huo, na chanzo cha mwanga huo, na, zaidi ya hayo, hajui mmiliki wake ni nani. Ninapotuza mwanga huo miongoni mwa binadamu, papo hapo Nilichunguza hali ilivyo miongoni mwa wanadamu: Kwa sababu ya mwanga huo, watu wote wanabadilika, na wanakua, na wametoka gizani.