9/21/2017

Waovu Lazima Waadhibiwe | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Waovu Lazima Waadhibiwe | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Kukagua kama unatenda uhaki katika kila jambo unalotenda, na iwapo matendo yako yanachunguzwa na Mungu, ni tabia za kanuni za wale wanaomwamini Mungu. Utaitwa mwenye haki kwa sababu una uwezo wa kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu umekubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji Wake na wale waliopatwa Naye, ni wenye haki na hutazamwa kwa upendo sana Mungu.

9/20/2017

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA | Kanisa la Mwenyezi Mungu



NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

9/15/2017

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dibaji

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Dibaji


Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, sembuse kujua kazi ya Mungu. Si ajabu, basi, kwamba wale wote wasiomjua Mungu wamejawa na imani iliyovurugika. Watu hawachukulii imani kwa Mungu kwa uzito kwa kuwa kuamini Mungu ni jambo geni, jambo lisilo la kawaida sana kwao. 

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.

Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.

Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,

Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.

9/13/2017

Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani" | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani" | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha.

Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake.

Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.

9/09/2017

Wasiliana Nasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Wasiliana Nasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Tunawakaribisha wale wanaotafuta kwa ukweli na kupeleleza njia ya ukweli wapige nambari za injili zifuatazo:



Kujua zaidi: Mwenyezi Mungu,  Umeme wa Mashariki



Sauti ya Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki 

Sauti ya Mungu | Kuonekana kwa Mungu Kumeleta Enzi Mpya


Mpango wa Mungu wa miaka elfu sita ya usimamizi unaisha, na lango la ufalme limefunguliwa kwa wale ambao wanatafuta kuonekana kwa Mungu. Ndugu wapendwa, mnasubiri nini? Mnatafuta nini? Mnasubiri kuonekana kwa Mungu? Mnazitafuta nyayo za Mungu? Kuonekana kwa Mungu kunatamaniwa sana! Ni vigumu, kiasi gani kupata nyayo za Mungu! Katika enzi kama hii, katika dunia kama hii, lazima tufanye nini ili tushuhudie kuonekana kwa Mungu? Sharti tufanye nini ili tufuate nyayo za Mungu? Wale wote wanaosubiri kuonekana kwa Mungu wanakumbana na maswali kama haya.