6/15/2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"



Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"


Utambulisho

I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma
Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,
Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.

6/14/2018

Tamko la Pili

Tamko la Pili
Kufuata kuanza kazi kwa mtazamo mpya, kutakuwa na hatua mpya katika kazi Yangu. Kama ilivyo katika ufalme, Nitafanya mambo moja kwa moja kupitia kwa uungu, Nikiongoza kila hatua ya njia, sahihi hadi kwa maelezo madogo, na bila kutiwa najisi na nia za binadamu hata kidogo.

6/13/2018

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili



Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili


Utambulisho

Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.
Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.
Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,
Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.

6/12/2018

Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Tamko la Kwanza

Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu mlipokabiliwa na joka kuu jekundu? Je, moyo wenu wa ibada hulifedhehesha kweli joka kuu jekundu? Ni kupitia tu kwa jaribio la maneno Yangu ndipo Naweza kutimiza lengo Langu la kulitakasa kanisa na kuwachagua wale wanaonipenda Mimi kweli.

6/11/2018

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"



Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Utambulisho

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

6/10/2018

Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?



Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


Utambulisho

Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli. 

6/09/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Binadamu Anapata Baraka za Mungu kwa Sababu ya Uaminifu na Utii Wake

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Binadamu Anapata Baraka za Mungu kwa Sababu ya Uaminifu na Utii Wake

Binadamu Anapata Baraka za Mungu kwa Sababu ya Uaminifu na Utii Wake

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kazi ya Mungu, Upendo wa Mungu,Je, baraka aliyopewa Ibrahimu na Mungu tuliyoisoma hapa ni kubwa? Ilikuwa kubwa vipi? Kunayo sentensi moja muhimu hapa: “na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watabarikiwa,” ambayo inaonyesha kwamba Ibrahimu alizipokea baraka ambazo hazikupewa tena kwa mwingine aliyekuja kabla au baadaye.