6/17/2018

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Nyinyi nyote mna furaha kupokea tuzo mbele ya Mungu na kutambuliwa na Mungu. Haya ni matakwa ya kila mtu baada ya yeye kuanza kuwa na imani kwa Mungu, kwani mwanadamu kwa moyo wake wote hutafuta mambo yaliyo juu na hakuna aliye tayari kubaki nyuma ya wengine. Hii ndiyo njia ya mwanadamu. Kwa sababu hii, wengi kati yenu wanajaribu daima kupata neema ya Mungu mbinguni, lakini kwa kweli, uaminifu wenu na uwazi kwa Mungu ni wa kiasi kidogo sana ukilinganishwa na uaminifu na uwazi wenu kwenu wenyewe.

6/16/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Wakati huohuo Alipokuwa akijizungumzia Mwenyewe, Mungu alizungumza pia na Ibrahimu, lakini mbali na kusikiliza baraka ambazo Mungu alimpa, Ibrahimu aliweza kuyaelewa matamanio ya kweli ya Mungu katika maneno Yake yote wakati huo?

6/15/2018

Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"



Ngoma ya Kikristo | Swahili Worship Song "Ufalme wa Kristo Unapatikana Miongoni mwa Wanadamu"


Utambulisho

I
Mwenyezi Mungu mwenye mwili
Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki,
kama tu vile jua la haki likichomoza;
mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Mungu wa haki na mwenye uadhama, mwenye upendo na huruma
Anajificha kwa unyenyekevu miongoni mwa wanadamu,
Akitoa ukweli, kuzungumza na kufanya kazi.

6/14/2018

Tamko la Pili

Tamko la Pili
Kufuata kuanza kazi kwa mtazamo mpya, kutakuwa na hatua mpya katika kazi Yangu. Kama ilivyo katika ufalme, Nitafanya mambo moja kwa moja kupitia kwa uungu, Nikiongoza kila hatua ya njia, sahihi hadi kwa maelezo madogo, na bila kutiwa najisi na nia za binadamu hata kidogo.

6/13/2018

Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili



Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi | Kwaya ya Injili


Utambulisho

Mfalme mwenye ushindi amekuwa ameketi kwenye kiti kitukufu cha enzi.
Amekamilisha ukombozi, akiongoza watu Wake wote kuonekana katika utukufu.
Vitu vyote vimo mkononi Mwake. Kwa busara takatifu na nguvu,
Amejenga na kuimarisha Sayuni, kujenga na kuimarisha Sayuni.

6/12/2018

Tamko la Kwanza

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Tamko la Kwanza

Je, wale wanaoshuhudia maneno Yangu huyakubali kwa kweli? Je, mnanijua kwa kweli? Mmejifunza utiifu kweli? Ninyi hutumia rasilimali kwa ajili Yangu kwa uaminifu? Mmekuwa na ushuhuda thabiti, usiokubali kushindwa Kwangu mlipokabiliwa na joka kuu jekundu? Je, moyo wenu wa ibada hulifedhehesha kweli joka kuu jekundu? Ni kupitia tu kwa jaribio la maneno Yangu ndipo Naweza kutimiza lengo Langu la kulitakasa kanisa na kuwachagua wale wanaonipenda Mimi kweli.

6/11/2018

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"



Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki"


Utambulisho

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale,
na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki.
Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga
ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga,
wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.