6/22/2018

Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love

Swahili Christian Musical Trailer "Hadithi ya Xiaozhen" | Praise God for His Great Love

Utambulisho

Xiaozhen alikuwa Mkristo mwenye moyo safi, ulio na huruma, ambaye kila wakati alikuwa akiwashughulikia wenzake kwa uaminifu. Hata hivyo, ilipokuwa ni kwa manufaa yao, marafiki wake wa awali waligeuka na kuwa maadui wake.

6/21/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Mungu ni Mwenye Wingi wa Rehema Kwa Wale Anaowajali, na Mwenye Hasira Kali kwa Wale Anaochukia na Kukataa

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Mungu ni Mwenye Wingi wa Rehema Kwa Wale Anaowajali, na Mwenye Hasira Kali kwa Wale Anaochukia na Kukataa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kazi ya Mungu, Umeme wa Mashariki, Tabia ya Mungu

Mungu ni Mwenye Wingi wa Rehema Kwa Wale Anaowajali, na Mwenye Hasira Kali kwa Wale Anaochukia na Kukataa

Kwenye simulizi za Biblia, kulikuwepo na watumishi kumi wa Mungu kule Sodoma? La, hakukuwepo! Kulikuwepo na jiji lililostahili kusamehewa na Mungu? Mtu mmoja tu kwenye jiji hilo—Loti—ndiye aliye wapokea wajumbe wa Mungu. Matokeo ya haya ni kwamba kulikuwa na mtumishi mmoja tu wa Mungu kwenye jiji, na hivyo basi Mungu hakuwa na chaguo ila kumwokoa Loti na kuliangamiza jiji la Sodoma.

6/20/2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini | "Saa ya Giza Kabla ya Mapambazuko"

Utambulisho

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

6/19/2018

Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Unapaswaje Kuitembea Hatua ya Mwisho ya Njia

Sasa mko kwenye hatua ya mwisho ya njia, na hii ni sehemu muhimu. Labda umevumilia mateso mengi kabisa, umefanya kazi nyingi, umetembea barabara nyingi, na umesikiliza mahubiri mengi, na haijakuwa rahisi kufika hadi sasa. Ikiwa huwezi kuvumilia mateso yaliyo mbele yako na kama unaendelea kama ulivyofanya zamani, basi huwezi kufanywa mkamilifu.

6/18/2018

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?"

Swahili Christian Movie | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | "Mhalifu ni Nani?" 

Utambulisho

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.

6/17/2018

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Jinsi ya Kumjua Mungu Duniani

Nyinyi nyote mna furaha kupokea tuzo mbele ya Mungu na kutambuliwa na Mungu. Haya ni matakwa ya kila mtu baada ya yeye kuanza kuwa na imani kwa Mungu, kwani mwanadamu kwa moyo wake wote hutafuta mambo yaliyo juu na hakuna aliye tayari kubaki nyuma ya wengine. Hii ndiyo njia ya mwanadamu. Kwa sababu hii, wengi kati yenu wanajaribu daima kupata neema ya Mungu mbinguni, lakini kwa kweli, uaminifu wenu na uwazi kwa Mungu ni wa kiasi kidogo sana ukilinganishwa na uaminifu na uwazi wenu kwenu wenyewe.

6/16/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kuwapata Wale Wanaomjua Mungu na Wanaweza Kumtolea Ushuhuda Ndilo Tamanio la Mungu Lisilobadilika

Wakati huohuo Alipokuwa akijizungumzia Mwenyewe, Mungu alizungumza pia na Ibrahimu, lakini mbali na kusikiliza baraka ambazo Mungu alimpa, Ibrahimu aliweza kuyaelewa matamanio ya kweli ya Mungu katika maneno Yake yote wakati huo?