Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki)
Utambulisho
Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah …
Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu.
Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu.
Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.


