Kupata Mwili ni nini ?
Biblia inasema, "Na bila shaka siri ya uungu ni kuu: Mungu alibainishwa katika mwili, Akadhihirishwa katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa kwa mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu" (1 Timotheo 3:16).

📚"Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe." kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni