9/11/2018

Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Wakati wa Uzoefu Mmoja Niliona Ulinzi wa Mungu

Yongxin, Jiji la Yibin, Mkoa wa Sichuan
Hatukuwahi kumwamini Mungu kabla. Mnamo mwaka wa 2005, tukitiwa moyo na Mungu, mume wangu, baba mkwe wangu, mjomba wangu, na mimi wote tuliikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Baada ya muda mfupi, kanisa lilinipangia kufanya wajibu wa kuhifadhi vitabu. Baadaye, nyumba yetu ilishika moto, na wakati wa moto huu tulipokea ulinzi wa Mungu wa ajabu. Mungu kwa hakika ni mwenyezi!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, wokovu, Umeme wa Mashariki

9/10/2018

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Ushuhuda, Umeme wa Mashariki

9. Ninaona njia ya kumjua Mungu

Xiaocao Mji wa Changzhi, Mkoa wa Shanxi
Siku moja, niliona kifungu hiki kifuatacho cha neno la Mungu kwa maandishi “Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu”: “Kwenye kipindi kile alichomfuata Yesu, Petro alitazama na kutia moyoni kila kitu kuhusu maisha Yake: Matendo Yake, maneno Yake, mwendo Wake na maonyesho Yake. … Tangu wakati huo akiwa na Yesu, Petro alitambua pia kwamba hulka Yake ilikuwa tofauti na ile ya binadamu wa kawaida.

9/09/2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies



Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Utambulisho

Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.

9/08/2018

Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love



Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love


Utambulisho

Muumba yuko miongoni mwa binadamu siku zote,
kwamba siku zote Anazungumza na binadamu na uumbaji mzima,
na kwamba Anatekeleza matendo mapya, kila siku.
Hali Yake halisi na tabia vyote vimeelezewa katika mazungumzo Yake na binadamu;
fikira na mawazo Yake vyote vinafichuliwa kabisa kwenye matendo Yake haya;
Anaandamana na kufuatilia mwanadamu siku zote.

9/07/2018

Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi

Kazi ya Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki




Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi


Utambulisho

  I
Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000, uliyogawanywa katika hatua tatu, kila moja inaitwa enzi. Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.

9/06/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Ayubu Amshinda Shetani na Kuwa Binadamu Wa Kweli Machoni mwa Mungu

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Ayubu Amshinda Shetani na Kuwa Binadamu Wa Kweli Machoni mwa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Ayubu, Umeme wa Mashariki

Ayubu Amshinda Shetani na Kuwa Binadamu Wa Kweli Machoni mwa Mungu

Wakati Ayubu alipopitia majaribio yake kwa mara ya kwanza, alinyang’anywa mali yake yote na watoto wake wote, lakini hakujisujudia na kusema chochote ambacho kilikuwa dhambi dhidi ya Mungu kutokana na hayo. Alikuwa ameshinda majaribio ya Shetani, na alikuwa ameshinda rasilimali zake zote za dunia na watoto wake, na majaribio ya kupoteza mali yake ya dunia, hivi ni kusema kwamba aliweza kutii Mungu kuchukua na kutwaa kutoka kwake na akatoa shukrani na sifa kwa Mungu kwa sababu ya hayo.

9/05/2018

Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement



Filamu za Kikristo 2018 | "Kumbukumbu Chungu" | Welcoming the Return of the Lord in Judgement


Utambulisho

Fan Guoyi alikuwa mzee wa kanisa la nyumba kule Uchina. Wakati wa zaidi ya miaka ishirini ya huduma, siku zote alimwiga Paulo, na kufanya kazi kwa bidii na akamtumikia Bwana kwa shauku kubwa.