Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Christian-Video. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Christian-Video. Onyesha machapisho yote

8/13/2018

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?

Utambulisho

Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake. Aliamini kuwa almuradi angefanya kazi kwa bidii siku zote, angeweza kuwa bora kuliko wenzake, na kujipatia sifa na umaarufu.

6/23/2018

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God

Utambulisho

Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana. Lakini alipotoa athari ya kimatendo kwa neno la Bwana, aligundua kwamba kwake yeye mwenyewe kulikuwa na mambo mengi potovu na ya uasi-ubinafsi, kiburi, udanganifu, na ulaghai na kadhalika.

5/05/2018

"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?

"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?

Utambulisho

Katika Biblia, Paulo alisema, "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu. Yeyote yule anayepinga nguvu, anapinga amri ya Mungu: na yule anayepinga atapokea laana” (Warumi 13:1-2). Sisi waumini tunapaswa kuwatendea vipi wale walio madarakani? Je, utiifu kwa wale walio madarakani ni sawa na utiifu kwa Mungu kweli?

5/03/2018

Christian Video Swahili “Bahati na Bahati Mbaya” | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu

Christian Video Swahili “Bahati na Bahati Mbaya” | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu

Utambulisho

Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza kufanya ili apate pesa. Yeye hakulalamika wakati kazi ilikuwa ngumu na ya kuchokesha.