Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukuma na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya? Kama huwezi kuzungumzia maarifa kama haya, basi hii inaonyesha kwamba bado huijui kazi ya Mungu na hujapatiwa nuru katu na Roho Mtakatifu. Binadamu wa aina hii hawezi kukamilishwa. Wanaweza tu kupokea kiasi kidogo cha neema ili kufurahia kwa muda mfupi na haiwezi kuendelezwa kwa kipindi kirefu. Kama mtu hufurahia tu neema ya Mungu, hawezi kukamilishwa na Mungu.
Mwenyezi Mungu ndiye ujio wa pili wa Bwana Yesu. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu.
Kurasa
- Nyumbani
- Kuhusu Sisi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Wasiliana Nasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Vitabu - Neno Laonekana katika Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo na Densi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Kwaya za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Kupitia Mateso | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Filamu za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Usomaji wa Maneno la Mwenyezi Mungu | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote
11/17/2018
5/05/2018
"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?
Utambulisho
Katika Biblia, Paulo alisema, "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu. Yeyote yule anayepinga nguvu, anapinga amri ya Mungu: na yule anayepinga atapokea laana” (Warumi 13:1-2). Sisi waumini tunapaswa kuwatendea vipi wale walio madarakani? Je, utiifu kwa wale walio madarakani ni sawa na utiifu kwa Mungu kweli?
4/29/2018
Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu
Latest Swahili Christian Movie "Imani katika Mungu" | Hufunua Fumbo la Imani Katika Mungu
Yu Congguang huhubiri injili kwa niaba ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wa kuhubiri injili, aliandamwa na serikali ya Kikomunisti ya China. Alikimbia milimani, ambapo alipokea msaada kutoka kwa Zheng Xun, mfanyakazi mwenza wa kanisa la nyumba la mahali pale. Walipokutana mara ya kwanza, walihisi kama tayari walikuwa wamejuana kwa muda mrefu.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)