Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hekima-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hekima-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

2/13/2019

Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)" Sehemu ya Pili


Matamshi ya Mungu | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)" Sehemu ya Pili


 Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.

Maudhui ya video hii:
Kwenye Siku ya Nne, Misimu, Siku, na Miaka ya Mwanadamu Iliumbika Huku Mungu Akionyesha Mamlaka Yake kwa Mara Nyingine Tena
Kwenye Siku ya Tano, Maisha ya Maumbo Tofauti na Pana Yaonyesha Mamlaka ya Muumba kwa Njia Tofauti
Kwenye Siku ya Sita, Muumba Aongea, na Kila Aina ya Kiumbe Hai Akilini Mwake Chajitokeza, Kimoja Baada ya Kingine
Katika Mamlaka ya Muumba, Viumbe Vyote ni Timilifu
Hakuna Kiumbe Chochote Kati ya Vile Vilivyoumbwa na Vile Ambavyo Havikuumbwa Kinaweza Kubadilisha Utambulisho wa Muumba

2/12/2019

Neno la Mungu | Sura ya 21

Neno la Mungu | Sura ya 21


Kazi ya Roho Mtakatifu sasa imewaleta katika mbingu mpya na dunia mpya. Kila kitu kinaendelea kufanywa upya, kila kitu ki mikononi Mwangu, kinarudi ulingoni! Kwa dhana zao, watu wanashindwa kulifikiria kwa makini, na kwao haina maana, lakini ni Mimi ambaye niko kazini, na hekima Yangu iko ndani yake. Kwa hiyo mnaweza kukomesha dhana zenu zote na maoni yenu. Mnaweza kujishughulisha na kula na kunywa neno la Mungu katika utii, bila wasiwasi wowote kamwe.