8/07/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Katikati ya mateso makuu, Ayubu Anatambua kwa kweli utunzaji wa Mungu kwa mwanadamu

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Katikati ya mateso makuu, Ayubu Anatambua kwa kweli utunzaji wa Mungu kwa mwanadamu

 Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, Umeme wa Mashariki

Katikati ya mateso makuu, Ayubu Anatambua kwa kweli utunzaji wa Mungu kwa mwanadamu

Kufuatia maswali ya Yehova Mungu kwa Shetani, Shetani alifurahi kisirisiri. Kwa sababu Shetani alijua kwamba angeweza kwa mara nyingine kuruhusiwa kumshambulia mtu aliyekuwa mtimilifu katika macho ya Mungu—jambo ambalo kwa Shetani lilikuwa fursa ya nadra.

8/06/2018

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu wa Vitendo kwa Moyo Wetu Wote"



Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu wa Vitendo kwa Moyo Wetu Wote"


Utambulisho

La … la la la … la la la….
La … la la la … la la la … la….
Jua la haki lapanda kutoka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia.
Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu.
Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu.

8/05/2018

Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Smiley face



Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Utambulisho

Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti.
I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya. Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la, kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote. Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti.

8/04/2018

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu

Kiini cha Mwili Ulio na Mungu


Mungu mwenye mwili wa kwanza Aliishi duniani kwa miaka thelathini na tatu na nusu, lakini Alitekeleza huduma Yake kwa miaka mitatu na nusu pekee ya hiyo miaka yote. Kipindi Alichofanya kazi na kabla Aanze kazi Yake, Alikuwa na ubinadamu wa kawaida. Aliishi na ubinadamu Wake wa kawaida kwa miaka thelathini na tatu na nusu. Katika miaka yote mitatu na nusu ya mwisho Alijifichua kuwa Mungu mwenye mwili.

8/03/2018

Upendo Safi Bila Dosari




Upendo Safi Bila Dosari

Utambulisho

  I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

8/02/2018

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha



Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha


Utambulisho

Liu Zhen, mwenye umri wa miaka 78, ni mke wa nyumbani wa kawaida wa mashambani. Baada ya kumwamini Mungu, alihisi furaha isiyo na kisawe na kusoma maneno Yake na kuimba nyimbo za kumsifu siku zote, na mara nyingi kukusanyika pamoja na ndugu zake kushirikiana juu ya ukweli. ...

8/01/2018

Tatizo Kubwa Sana: Usaliti (1)

Tatizo Kubwa Sana: Usaliti (1)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kazi Yangu iko karibu kukamilika. Miaka mingi ambayo tumeshinda pamoja imekuwa kumbukumbu zisizovumilika za siku za nyuma. Nimeendelea kurudia maneno Yangu na Sijakoma kuendelea katika kazi Yangu mpya. Bila shaka, ushauri Wangu ni sehemu muhimu katika kila sehemu ya kazi Ninayoifanya. Bila ushauri Wangu, ninyi nyote mtapotea, na kuchanganyikiwa hata zaidi.