10/22/2018

Maonyesho ya Mungu | "Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu"



Maonyesho ya Mungu | "Mungu Ndiye Chanzo cha Uhai wa Mwanadamu"


Utambulisho

Mwenyezi Mungu anasema, "Chanzo cha uhai hutoka kwa Mungu, kwa viumbe vyote, haijalishi tofauti katika maumbile au muundo. Hata uwe kiumbe hai cha aina gani, huwezi kwenda kinyume na njia ya maisha ambayo Mungu ameweka. Katika hali yoyote, kile Napenda ni kuwa mwanadamu aelewe kwamba bila huduma, utunzaji, na utoaji wa Mungu, mwanadamu hawezi kupokea yote aliyokusudiwa kupokea, haijalishi juhudi au mapambano yake.

10/21/2018

2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)



2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)


Utambulisho

Kitabu cha Mwanzo kimenakili jinsi, hapo mwanzo, Mungu aliuumba ulimwengu kimiujiza. Dondoo hii ya filamu ya Kikristo inakutolea ufanisi wa kushangaza wa Mungu wa kuuumba ulimwengu.

Yaliyopendekezwa: Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu, Asili ya Mwenyezi Mungu

10/20/2018

Kiini cha Kristo Ni Mungu | Nyimbo za Maneno ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo, Umeme wa Mashariki



Kiini cha Kristo Ni Mungu | Nyimbo za Maneno ya Mungu


Utambulisho

  I
Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo, na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu. Si kupita kiasi kusema hivyo, kwani Ana kiini cha Mungu. Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake, ambayo haifikiwi na mwanadamu. Wale wanaojiita Kristo wenyewe ilhali hawawezi kufanya kazi ya Mungu ni wadanganyifu. Wanaojifanya kuwa Kristo hatimaye wataanguka, ingawaje wanadai kuwa Kristo, hawana kiini chochote cha Kristo.

10/19/2018

Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Ushuhuda, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu

52. Jitiishe Mwenyewe ili Kufundisha Wengine Nidhamu

Xiaoyan    Jiji la Xinyang, Mkoa wa Henan
Nilikuwa na ubia wa kazi wa karibu na dada mmoja mzee katika masuala ya jumla. Baada ya kufanya kazi naye kwa muda fulani, nikamwona kuwa mzembe katika kazi yake na kwamba hakukubali ukweli. Kikwelikweli, nilikata kauli kumhusu. Hatua kwa hatua, uhusiano wa kawaida kati yetu ulipotea, hatukuweza kupatana vizuri, na hatukuweza kuwa mbia katika kazi. Nilihisi kuwa lilikuwa ni kosa lake hasa kwamba uhusiano wetu ulifikia kiwango hiki, na hivyo nilijaribu kufikiria njia za aina zote za kuzungumza naye ili apate kujijua.

10/18/2018

Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

11. Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamu.
Siku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana. Nje mvua ilikuwa ikiendelea kunyesha. Saa kumi u nusu jioni mume wangu, ambaye hakuwa muumini, alirudi akitwambia kwamba kulikuwa na maji mengi kwa mzunguko kiasi kwamba watu hawakuweza kupitia.

10/17/2018

Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace



Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace


Utambulisho

Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.
Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu,
furaha iko moyoni mwangu ninavyoyatafakari maneno ya Mungu.

10/16/2018

Uhusiano Kati ya Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu




II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

3. Uhusiano Kati ya Kila Moja ya Hatua Tatu za Kazi ya Mungu

Maneno Husika ya Mungu:
Kutoka kwa kazi ya Yehova mpaka ile ya Yesu, na kutoka kwa kazi ya Yesu hadi kwa kazi iliyoko kwa awamu hii ya sasa, awamu hizi tatu zinajumlisha upana wote wa usimamizi wa Mungu, na zote ni kazi za Roho mmoja. Kutoka Alipoumba ulimwengu, Mungu Amekuwa Akisimamia wanadamu. Yeye ndiye Mwanzo na ndiye Mwisho; Yeye ndiye wa Kwanza na wa Mwisho, na Yeye ndiye mwanzilishi wa enzi na Yeye ndiye huleta enzi kwenye kikomo.