11/21/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Juu ya Hatima

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Juu ya Hatima


Wakati wowote hatima inatajwa, muichukulie kwa uzito maalumu; nyinyi nyote ni mahususi hasa kuhusu jambo hili. Baadhi ya watu hawawezi kusubiri kumsujudia Mungu ili hatimaye kuwa na hatima nzuri. Naweza jishirikisha na hamu yenu, ambayo haihitaji kuonyeshwa katika maneno. Kabisa hamtaki miili yenu ianguke katika maafa, na hata zaidi, hamtaki kushuka katika adhabu ya muda mrefu hapo baadaye. Mnatarajia tu kuishi kwa uhuru zaidi na kwa urahisi. Hivyo mnahisi wasiwasi hasa wakati wowote hatima inatajwa, mkihofia kwa undani kwamba msipokuwa waangalifu vya kutosha, mnaweza kosea Mungu na kuwa chini ya adhabu inayostahili.

11/19/2018

Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God



Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God

Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu wake wa kutoroka nyumbani na kukimbia. Familia iliyokuwa na furaha ilitenganishwa, binti akamwacha mamake, na babake akawekea kisasi cha ndani dhidi yake. Ni nani aliyekuwa mbunifu mkuu? Na ni nani aliyempatia Xiaolan imani na nguvu, na kumwelekeza kutoroka kizimba na kutembea kwa njia sahihi ya maisha?  

Kujua Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Maisha ya Kanisa-Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man



Utambulisho

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man

Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

11/17/2018

Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God


Wimbo Mpya wa Dini | "Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu" | God's Sheep Hear the Voice of God

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu,
lazima tutafute mapenzi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu,
tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.
Kwani palipo na maneno mapya ya Mungu,
pana sauti ya Mungu, sauti Yake;
palipo na nyayo za Mungu,
pana matendo ya Mungu, matendo ya Mungu.
Palipo na maonyesho ya Mungu,
pana sura, sura ya Mungu,
na palipo na sura ya Mungu,
pana ukweli, njia, na uzima.

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa


Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa

Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukuma na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya? Kama huwezi kuzungumzia maarifa kama haya, basi hii inaonyesha kwamba bado huijui kazi ya Mungu na hujapatiwa nuru katu na Roho Mtakatifu. Binadamu wa aina hii hawezi kukamilishwa. Wanaweza tu kupokea kiasi kidogo cha neema ili kufurahia kwa muda mfupi na haiwezi kuendelezwa kwa kipindi kirefu. Kama mtu hufurahia tu neema ya Mungu, hawezi kukamilishwa na Mungu. 

11/15/2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Mtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu

Matamshi ya Mwenyezi MunguMtu Mpotovu Hawezi Kumwakilisha Mungu


     Binadamu amekuwa akiishi katika funiko la ushawishi wa giza, huku akiwa amezuiliwa bila ya kuwachiliwa na ushawishi wa Shetani. Nayo tabia ya binadamu, baada ya kutengenezwa na Shetani, inaendelea kuongezeka kuwa potovu. Kwa maneno mengine, binadamu huishi daima na tabia yake potovu ya kishetani, asiweze kumpenda Mungu kwa kweli. Kwa hiyo, kama binadamu anataka kumpenda Mungu, lazima anyang'anywe kujidai kwake, kujigamba, kiburi, majivuno, na sifa nyingine kama hizo zinazomilikiwa na tabia ya Shetani.

11/14/2018

Filamu za Kikristo | "Mazungumzo" | Christian Testimony of Overcoming Satan


Jiang Xinyi na Wakristo wengine walikamatwa na serikali ya CCP; wao huwatesa Wakristo kwa ukatili ili kutwaa fedha za kanisa na kuwakamata viongozi zaidi wa kanisa. Kisha, ili kuwalazimisha kuikataa imani yao, wao huzindua kampenii moja baada ya nyingine ya kuwatia kasumba, lakini kwa uongozi wa maneno ya Mungu, wao huweza kuyashinda mateso na udanganyifu wote wa Shetani. Wao hutegemea ukweli kushiriki katika vita vikali na serikali ya CCP …

Soma Zaidi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Filamu za Injili