7/28/2018

Wimbo za wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu



Wimbo za wokovu | “Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisa” | Wema wa Mungu


Utambulisho
I
Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza;
kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa;
kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia,
ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.
Ni hii ndiyo kazi inayofanywa na Muumba.
Ingawa kazi ya ushindi inafanikishwa ikiondoa matarajio ya jamii ya wanadamu,
mwishowe, mwanadamu bado ataletwa katika hatima sahihi ambayo Mungu amemwandalia.

7/27/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Upendo wa Ayubu ya Njia ya Mungu Inazidi Yoyote Ile Nyingine

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Upendo wa Ayubu ya Njia ya Mungu Inazidi Yoyote Ile Nyingine


Upendo wa Ayubu ya Njia ya Mungu Inazidi Yoyote Ile Nyingine

Maandiko yanarekodi maneno haya yaliyozungumzwa kati ya Mungu na Shetani: “BWANA akamwuliza Shetani, je, umemwangalia mtumishi wangu Ayubu, kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mnyofu, mwenye kumcha Mungu, na kuuepuka uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ujapokuwa ulinichochea dhidi yake, ili nimwangamize pasipo sababu” (Ayubu 2:3).

7/26/2018

6 Njia Yote Pamoja na Wewe

Smiley face




6 Njia Yote Pamoja na Wewe


Utambulisho

I
Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako. Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu.

7/25/2018

Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko"



Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko"


Utambulisho

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, akihisi kwamba kuamini tu katika Bwana kunatosha kuitwa mwenye haki na kuokolewa kwa neema.

7/24/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Na ni nini ambacho Mungu alifanya wakati Ayubu alipopitia mateso haya? Mungu aliangalia, na kutazama, na Akasubiri matokeo. Wakati Mungu Alipokuwa akiangalia na kutazama, Alihisi vipi?

7/23/2018

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope.

7/22/2018

5 Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Smiley face



Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu


Utambulisho

I
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.