Mungu asema: "Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?"
Mwenyezi Mungu ndiye ujio wa pili wa Bwana Yesu. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu.
Kurasa
- Nyumbani
- Kuhusu Sisi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Wasiliana Nasi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Vitabu - Neno Laonekana katika Mwili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo na Densi | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Kwaya za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Nyimbo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Video za Kupitia Mateso | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Filamu za Injili | Kanisa la Mwenyezi Mungu
- Usomaji wa Maneno la Mwenyezi Mungu | Kanisa la Mwenyezi Mungu
9/20/2018
Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?
9/19/2018
Neno la Mungu | "Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu"
Utambulisho
Mwenyezi Mungu alivyosema, "Yeye ambaye Anafanya kazi katika Uungu Anawakilisha Mungu, ilhali wale wanaofanya kazi katika ubinadamu ni wanadamu wanaotumiwa na Mungu. Yaani, Mungu katika mwili ana utofauti halisi na wanadamu wanaotumiwa na Mungu. Mungu mwenye mwili Anaweza kufanya kazi ya Uungu, lakini wanadamu wanaotumiwa na Mungu hawawezi. Mwanzoni mwa kila enzi, Roho wa Mungu anaongea binafsi kuzindua enzi mpya na kuleta mwanadamu kwenye mwanzo mpya.
9/18/2018
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuhusu Ayubu
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kuhusu Ayubu
Kuhusu Ayubu
Katika Maisha ya Kila Siku ya Ayubu Tunaona Utimilifu, Unyofu, Kumcha Mungu, na Kujiepusha na Maovu
Kama tutazungumzia Ayubu, basi lazima tuanze na namna ambavyo alitathminiwa kwa mujibu wa matamshi kutoka kwa kinywa cha Mungu mwenyewe: “hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mnyofu, mwenye kumcha Mungu, na kuuepuka uovu.”
9/17/2018
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kufundisha Watoto Wangu (II)
Xiaoxue, Malesia
Siku moja baada ya mlo mkuu wa siku, nilimfundisha mwanangu mvulana mkubwa jinsi ya kusoma Kichina—maneno rahisi tu, “Mbinguni, dunia, watu, na, dunia, baba, mama….” Nilimfundisha mara chache hasa, lakini bado hakuweza kuandika. Angeandika neno la kwanza na kisha kusahau lililofuata. Hasira ndani yangu ilipanda, na kunyakua rula iliyokuwa juu ya meza na kumgonga mara kadhaa. Nilimpigia kelele kwa sauti kubwa: “Wewe ni mpumbavu jinsi gani! Huwezi hata kujifunza maneno haya machache!”
9/16/2018
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)
Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)
Xiaoxue, Malesia
Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea. Baada ya ziara kadhaa, maulizo na kulinganisha, tulichagua shule ya chekechea ya Kiingereza kwa sababu waliweka umuhimu juu ya ubora wa tabia au akili na uwezo wa watoto, ambao ulifanana na mtazamo wangu juu ya kufundisha watoto. Ingawa ada za masomo zilikuwa za juu kiasi, alimradi watoto waliweza kuendeleza vizuri na kupata elimu bora, lilikuwa la thamani kutumia pesa zaidi kidogo.
9/15/2018
"Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?
"Kumbukumbu Chungu" | Nini Hasa Ni Uhusiano Kati ya Kuokolewa na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni?
Utambulisho
Watu wengi wanasadiki kwamba kwa kumsadiki Bwana Yesu dhambi zao zinasamehewa, kwamba wanaokolewa kupitia kwa imani, na zaidi kwamba pindi mtu anapookolewa anaokolewa milele, na pindi Bwana anaporudi ananyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni!
9/14/2018
Swahili Christian Song "Umuhimu wa Kuonekana kwa Mungu" | The Lord Has Come Back (Tai Chi Dance)
Utambulisho
Na utambulisho Wake mwenyewe na tabia, na kwa njia Yake mwenyewe,
Yeye anashuka kati ya mwanadamu ili kuanza enzi na kumaliza enzi.
Kuonekana kama huku sio ishara ama picha.
Si aina ya sherehe.
Si muujiza. Si ono kuu.
Pia sio aina ya mchakato wa kidini hata zaidi.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


