5/06/2018

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu


Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?



Utambulisho

Wimbo wa Maneno ya Mungu
I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake. Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote, awape uhai na awaonyeshe njia. Mwili wowote usiokuwa na dutu Yake sio Mwili wa Mungu.
II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli tazamia tabia, maneno na matendo Yake. Angazia dutu Yake wala si sura Yake ya nje. Ni upumbavu na ujinga kuangazia sura ya nje ya Mungu. Ya nje haiamui ile ya ndani, na kazi ya Mungu haiambatani na dhana za mwanadamu.
III
Je, si sura ya nje ya Yesu ilitofautiana na matarajio ya watu Je, si mfano Wake na mavazi Yake yalificha utambulisho Wake Si ndio sababu Mafarisayo walimpinga Yesu Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno Aliyoyasema. Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake, wasirudie historia. Usifuate Mafarisayo usulubishe Mungu msalabani tena. Tilia maanani utakavyokaribisha kurudi Kwake. Waza wazi utakavyotii ukweli. Ndio wajibu wa kila angojaye kurudi kwake Yesu. 


kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Soma Zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni