7/26/2018

6 Njia Yote Pamoja na Wewe

Smiley face




6 Njia Yote Pamoja na Wewe


Utambulisho

I
Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa namna fulani nikiuumiza moyo Wako. Na bado Hunitendei kulingana na dhambi zangu lakini Unafanya kazi kwa ajili ya wokovu wangu.

7/25/2018

Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko"



Latest Swahili Gospel Movie "Wakati Wa Mabadiliko"


Utambulisho

Su Mingyue ni mhubiri wa kanisa la nyumbani huko bara China. Kwa miaka, amekuwa mtumishi aliyejitolea wa Bwana anayesisitiza kufanya kazi ya kuhubiri kwa ajili ya Bwana na kubeba mzigo wa kazi kwa ajili ya kanisa. Anaongozwa na neno la Paulo katika Biblia, akihisi kwamba kuamini tu katika Bwana kunatosha kuitwa mwenye haki na kuokolewa kwa neema.

7/24/2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II - Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kutotikisika kwa Uadilifu wa Ayubu Kunaleta Aibu Kwake Shetani na Kusababisha Shetani Kutoroka kwa Wasiwasi

Na ni nini ambacho Mungu alifanya wakati Ayubu alipopitia mateso haya? Mungu aliangalia, na kutazama, na Akasubiri matokeo. Wakati Mungu Alipokuwa akiangalia na kutazama, Alihisi vipi?

7/23/2018

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

8. Mungu Aliilinda Familia Yetu Wakati wa Maafa

Wang Lan, Beijing
Agosti 6, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, mafuriko makubwa zaidi tangu miaka sitini yalipitia kijijini mwetu kwa nguvu mno. Maafa yalianguka kutoka mbinguni, maji ya mafuriko yalichanganya matope na mawe na kuharibu kijiji chote. Nyumba nyingi ziliharibiwa na maji na maporomoko ya matope.

7/22/2018

5 Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu

Smiley face



Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu


Utambulisho

I
Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza.

7/21/2018

Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"



Video ya Kiswahili ya Ushuhuda wa Kikristo "Mungu Ndiye Nguvu ya Maisha Yangu"


Utambulisho

Fang Jin ni Mkristo. Alikamatwa na serikali ya CCP kwenye mkusanyiko. Ili kumlazimisha kuwataja ndugu zake wa kike na kiume na kumsaliti Mungu, polisi walimnyima chakula, maji na usingizi kwa siku saba mchana na siku sita usiku, na kusababisha kila aina ya mateso ya kinyama juu yake: mapigo makali, kuning’inizwa, kuchuchumaa, kudhihakiwa na kufedheheshwa.

7/20/2018

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)



Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | "Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri" (Video Rasmi ya Muziki)


Utambulisho

Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri.
Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia?
Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza.
Wewe Ndiwe unayeniwaza daima, Wewe Ndiwe unayeyatunza maisha yangu.