12/31/2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 6

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 6

Mwenyezi Mungu, Mkuu wa vitu vyote, hushika madaraka Yake ya kifalme kutoka kwa kiti Chake cha enzi. Yeye hutawala ulimwengu na vitu vyote Naye Anatuongoza katika dunia yote. Mara kwa mara tutakuwa karibu Naye, na kuja mbele Zake kwa utulivu; kamwe hatutakosa wakati mmoja, na kuna mambo ya kujifunza wakati wote. Mazingira yanayotuzunguka pamoja na watu, mambo na vitu, yote yameruhusiwa na kiti Chake cha enzi.

12/30/2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza

Unajua jinsi hukumu ya kiti cha enzi kikuu cheupe iliyotabiriwa katika Ufunuo inatimizwa? Je, hukumu ya kiti cha enzi kuu cheupe iko mbinguni, au duniani? Je, inafanywa na Mungu aliyepata mwili, au kwa Roho? Video hii fupi itajibu maswali yenu moja baada ya nyingine.

Yaliyopendekezwa: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi? Kujua Kanisa la Mwenyezi Mungu

12/29/2018

Kwa Nini Mungu Anapata Mwili Kufanya Kazi Yake katika Siku za Mwisho


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (3) : Nini Mungu Anapata Mwili Kufanya Kazi Yake katika Siku za Mwisho


Kanisa la Mwenyezi Mungu hushuhudia kwamba katika zile siku za mwisho Bwana amerejea katika mwili kueleza ukweli na kufanya kazi Yake ya hukumu kuanzia na familia ya Mungu. Kwa nini Mungu anahitaji kupata mwili kwa ajili ya kufanya kazi Yake ya hukumu katika zile siku za mwisho? Je, Roho wa Mungu hawezi kufanya kazi hii? Kuna tofauti gani kati ya kazi ya Mungu mwenye mwili na kazi ya Roho?

Tazama Video: Filamu za Injili

12/28/2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) : Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia


"Nimewahi Treni ya Mwisho" (2) : Kurudi kwa Bwana katika Mwili Kunatimiza Unabii wa Biblia


    Kwa maana Bwana atarudi katika zile siku za mwisho, Bwana Yesu akasema, “Na ninyi pia muwe tayari: maana katika saa kama hii msiyofikiria kuwa Mwana wa Adamu atakuja” (Luka 12:40)."Kwani kama umeme, unavyomulika chini ya mbingu kutoka sehemu moja, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Bali kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17: 24-25).

12/27/2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 5

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 5


Milima na mito huenda ikibadilika, vijito hutiririka mbele, na maisha ya mtu ni yenye uvumilivu mdogo kuliko ardhi na anga. Mwenyezi Mungu pekee ndiye maisha ya milele yaliyofufuka milele, katika vizazi hai milele! Vitu vyote na matukio viko katika mikono Yake, Shetani yuko chini ya miguu Yake.

12/24/2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu|3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

3. Baada ya Kupoteza Hadhi Yangu …

Huimin    Mji wa Jiaozuo, Mkoa wa Henan

Kila wakati nilipoona au kusikia kuhusu mtu aliyekuwa amebadilishwa naye kujisikia mwenye huzuni, dhaifu au mnunaji, na kutotaka kufuata tena, basi niliwaangalia kwa dharau. Nilidhani haikuwa kitu zaidi ya watu tofauti waliokuwa na majukumu tofauti ndani ya kanisa, kwamba hakukuwa na tofauti kati ya juu au chini, kwamba sote tulikuwa uumbaji wa Mungu na hakukuwa na sababu ya kuhuzunikia. Kwa hiyo kama nilikuwa nikiwatunza waumini wapya au kuongoza wilaya, sikuwahi kufikiri kuwa nilizingatia sana hadhi yangu, kwamba nilikuwa mtu wa aina hiyo.

12/23/2018

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 4

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 4


Daima tutakuwa tukiangalia na kusubiri, kuwa na utulivu katika roho na kutafuta kwa moyo safi. Chochote kitakachotufikia, tusishiriki kwa upofu. Twahitajika tu kuwa kimya mbele ya Mungu na daima kushiriki naye, na kisha nia Yake itafichuliwa kwetu. Roho zetu sharti daima ziwe tayari kutofautisha na sharti ziwe na bidii na zisiokubali kushindwa. Ni lazima tuteka kutoka kwa maji ya uhai mbele ya Mungu, maji ambayo huondoa kiu kutoka kwa roho zetu zilizokauka. Ni lazima tuwe tayari wakati wowote, kujitakasa kutokana na haki ya kibinafsi, kiburi chetu, kujiridhisha kibinafsi, na ridhaa yetu, kila moja kuzaliwa kutoka kwa tabia yetu ya kishetani.